Siipendi CCM na watu wake ila Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mara namheshimu sana!

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,575
Reaction score
31,012
Huyu kiongozi ana weredi na haiba ya kutosha, ni mfano bora kwangu kiongozi inabidi awe mnyenyekevu asiyependa makuu, SAID MTANDA sio mla rushwa kama amewahi kufanya hilo basi alikuwa hajui kuwa ni mla rushwa.

Said Mtanda pokea heshima yako umekuwa mfano bora sana kwangu shida yako ni moja tu upo kwenye chama cha waovu, wala rushwa na wasio na utu.

Sitasahau Ile siku nilipokamatwa na wahuni watoza ushuru niwahonge million moja ili nipitishe gunia zangu mia mbili za tumbaku wewe ukasema mwacheni kijana aitafute kesho yake, mwacheni kabisa ilikuwa urambo tabora mwaka juzi.

Fw0weZ6XgAI-qNl.jpg
images%20(15)%20(5).jpg
 
View attachment 2751959View attachment 2751960
Kuna muda ukiwa ujavuta Bangi unaandika vitu sensible sana
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa ccm ndiko Kuna viongozi Nje ya hapo ni vikaragosi
 
Pamoja na hayo amejua kusoma alama za nyakat jinsi ya kuishi na wana mara!!
 
Alipokuwa DC Arusha kwny moja ya Friend Match mwaka 2021 kuna chalii alimvunja Mguu akalazwa pale Mount Meru takriban wiki mbili

alikuwa Mbunge wa Mchinga mkoani Lindi kama sijakosea. ni Mtu Muungwana na mchapakazi sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuwa mbunge ila anafaa kuwa Mbunge. Ni kijana mwenye weledi sana. Ni tunda la CCM Asili.
 
Huyu kiongozi ana weredi na haiba ya kutosha, ni mfano bora kwangu kiongozi inabidi awe mnyenyekevu asiyependa makuu, SAID MTANDA sio mla rushwa kama amewahi kufanya hilo basi alikuwa hajui kuwa ni mla rushwa.

Said Mtanda pokea heshima yako umekuwa mfano bora sana kwangu shida yako ni moja tu upo kwenye chama cha waovu, wala rushwa na wasio na utu.

Sitasahau Ile siku nilipokamatwa na wahuni watoza ushuru niwahonge million moja ili nipitishe gunia zangu mia mbili za tumbaku wewe ukasema mwacheni kijana aitafute kesho yake, mwacheni kabisa ilikuwa urambo tabora mwaka juzi.

View attachment 2751959View attachment 2751960
Na Mimi nampenda sana huyu bro ni bonge la mtu mwema hana mfano , Mungu wetu ambariki sana 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom