Siioni nia njema ya awamu ya 5

Siioni nia njema ya awamu ya 5

hanang kwetu

Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Salaam!, nashangazwa na jinsi inavyojinasibu kufanya mengi wakati matumizi ya magari ya anasa bado upo, dah kweli Tanzania ni balaa tupu!.
 
Sidhani pia kama hii miradi mikubwa chini ya serikali kama itakapokamilika, mfano Reli ya mwendokasi, Umeme Rufiji nk itadumu. Tujifunze kutoka kwenye historia. Kazi ya serikali ni kukusanya Kodi kutoa huduma za kijamii kama ulinzi, nk na wala siyo kuzalisha au kufanya biashara. Miradi hii ikikamilika itakuwa white elephants na kuhujumiwa. Itakufa.
 
Back
Top Bottom