ONTARIO keshafanya yake.
Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufaSiioni amshaamsha.....
Mkuu hii ina maana gani kama hula lako moyoni?
Hata kama unauliza kwa wema, umeshindwa kutafuta neno zuri badala ya kuweka hilo!
Halafu mkuu wewe umejiunga na hii ID yako September 16, 2017 ambapo ulikuta hii FOREX imeshakamilika kabisa kwa hatua zake na watu wameanza kujifunza, jambo ambalo linaonesha umeamua kuja na hii ID mpya ili uje ulete kejeli juu ya watu wenye nia na FOREX.
Ebu acha wivu mkuu sio jambo zuri!!
Sasa kama hela ya huko ni ngumu sana.. Kwann wasifanye haya rahisi kwanza.. Trade! (For instance) manufacturing?! Afterall I see more billionaires from simple things and none from forex!Endelea kusubiri hiyo amsha amsha ambayo na uhakika hutaiona. Jinsi hii business inavyotakiwa usome na kutumia akili, huo mda wa kukupostia wewe uamini nautoa wapi??
Halafu hamna aliesema kwenye forex kuna utajiri wa haraka so keep waiting bra.
Kuna ngroup lipo Telegram "Forex Traders Tz" mambo yanaendelea kama kawaida...Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa
Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja
Na maswala ya ID yangu minaona uko out of the topic !!!
Nikupe neno moja ilifikia mahara MTU alikuwa akifungua Uzi unao husu Forex ulikuwa unafutwa means yeyote aliyetaka uelezea Forex alionekana kama MTU anayetaka kuingilia masirahi ya watu
So kama ni understanding mzr nazani utakuwa umenielewa vzr!!! Good night
Kabisa yaan hata zile thread zake za papuchi hazipo kabisa...Stunter alikua mdau sana hapa jf, lakini toka aanze kutrade humuoni tena akisumbua jf maana amepata kitu cha kumweka busy. Sasa wewe na uvivu wako wa kifikiri endelea hivyo hivyo
=betting?Forex inaendelea tena sahz waty wako buzy sana hkuna mda wa kuja kuandk hbr hzo alf forec ni ulev ukianza hutk kupxk
Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa
Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja
Na maswala ya ID yangu minaona uko out of the topic !!!
Nikupe neno moja ilifikia mahara MTU alikuwa akifungua Uzi unao husu Forex ulikuwa unafutwa means yeyote aliyetaka uelezea Forex alionekana kama MTU anayetaka kuingilia masirahi ya watu
So kama ni understanding mzr nazani utakuwa umenielewa vzr!!! Good night
Hahaha a pole mkuu inaonekana ulijitahidi kusoma lakini umechsha. Forex is not for everyoneHakuna trader aliyewahi kufanikiwa kwa kutrade na account ya 1000$-10000$.. Hii kuambiwa utamake millions starting na 100$ ni uongo.
Wajanja hao wanaofundisha wanawapeleka watu shimoni... Haina tofauti na wale Wa hela ya mjerumani Mara pasi imefanyaje..wote ni utapeli.
Forex is the new religion for people who worship God ($) and are desperate. Hao mabroker na wakufunzi their business model is teach more and convert even more.. Wanapata fees for lectures and seminar ambazo zinakubrainwash make you dependent.. Halafu broker anakula percentage ya evry dime you spend weather you lose or win.. As long as you do spend his business is gud..
Look at George Sorros hawa ni Economists strategists Experience in financial markets for over decades..commanding billions of $ ..they are wealth/Asset managers by proffesion ...so they tell you they are traders but truth is they don't make their money only from trading..(risk is too high) so they invest in various businesses that can be controlled
Anyway kila lakheri.. Mie huo.ndio.umekuwa uelewa wangu na nimechemsha kuzielewa pips... Na where do I make my money... Maana matangazo yote online is sales pitch ya software, broker au seminar... Honestly