Private don
Member
- Sep 16, 2017
- 16
- 39
TrueHahahaaa mbona watu mnaiongelea sana hii ishu? Kama mnaona utapeli waacheni wenyewe wamesha kubali kutapeliwa, nyie fanyeni yenu. Au ndio Yale ya sizitaki mbichi hizi?!
DUH MBONA KIMYA NI KWELI NINI! WATAKUWA WAMELIZWA MAPEMA MIMI NILIJUA WATALIZWA ILA SI KWA MUDA MFUPI HIVI.FOREX NA BITCOIN HAVITAWAACHA WATU SALAMANapenda kuleta Uzi huu mahususi kabisa kwa wale jamaa zangu wa FOREX !!! Nimeona niseme kitu coz hapo mwanzo kipindi ndugu na jamaa yetu bwana Antario alipoanzisha uzi wa Forex !!!
Naweza kusema nyuzi zake zilipata waafuasi wengi sana hata Mimi nikiwemo !!!
Ninachojiuliza kwa sasa je? Forex hii mbona imepoteza mvuto na lile amsha amsha kama la mwanzo mbona limekufa? Au tayari watu wameshalizwa? Au wanatengeneza mapesa kimyakimya?
Hapana !!! Hapa kunakitu haiwezekana Jf ipoe kiasi hiki kuhusu hii Forex !!!
Maana hakuna mlejesho wowote wa MTU ambaye tayali amesha nunua hata passo kwa kutumia pesa ya Forex !!!!
Povu linaluhusiwa !!!!!
Nasubiri mgao wa ulizodownload.It's funny how a man dares to open a thread to talk about how other men choose to spend their money!
Forex is real, so is poverty!
It all depends on how you choose to use your brain!
It's funny how a man dares to open a thread to talk about how other men choose to spend their money!
Forex is real, so is poverty!
It all depends on how you choose to use your brain!
Open or Start..
Nani kakusimanga?Mnasubiri kwa masimango haya?