Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,581
Nimeshaitikia mpendwa.natola! leo nimekupenda bure kumbe kuna wanaume wana akiri da matola...itika bas
Una moyo sana mimi nilipofika kipengele cha miaka 7 nikaona huu ni upuuzi mtupu.Matola bora hata ulivosusa kumalizia kusoma uzi, mii nimemaliza kuusoma, ni kama ulijua, najutia muda wangu, ulikuwa sahihi kutosoma mpaka mwisho!
Fanta orange na sambusa za nyama plus egg chop, sina gharama haizidi elfu tano.matola agiza chochote unachokunywa bili yote juu yangu.... i like this
Aaaah utashangaa baadaye binti wa watu kazeeka halafu anaanza kumzingua kisa kaona dogo dogo
Boko HaramMiaka saba yote kwanini usimwoe mtoto wa watu?kashastuka uchumba gani kama mnasomea udaktari
Boko Haram
Mnajua hiyo miaka saba imefikaje?
Nilianza nae akiwa kidato cha pili, akamaliza kidato cha nne hakufaulu, nikamshauri arudie, akarudia mtihani lakini pia hakupata credit, nikamshauri akasomee clearing and forwarding miaka miwili, jumla mingapi hapo? 6.(Sita)
Mwaka uliopita amepata kazi, nikamwambia anipeleke kwao nikajitambulishe, nimepigwa chenga, mwaka huu mara ya mwisho kuonana nikamueleza nia yangu kwamba mwakani Mungu akipenda tungefunga ndoa, yaani utafikiri ndio nilimuambia kwaheri.
Hiyo ndio miaka Saba sasa. Kuna lingine?

Seven fu.cking years !!!!! Like seriously? Kama mtoto kazaliwa yuko STD 2! Damn!
basi wew ni zuzu