Sihitaji mpenzi au mchumba

Raphael gadau

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,007
Reaction score
306
Kiukweli cjawahi fikria kuwa na mpenzi au mchumba maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kuoa au kuzaa watoto ila mara nyingi nafikria kutafuta pesa tu si vingine
 
Ww unamawazo kuntu kweli, hv hizo hela unatafuta ili ukatumie na nani kama hutakua na familia yako
 
Kiukweli cjawahi fikria kuwa na hela au utajiri maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kutumia pesa ila mara nyingi nafikria kutafuta mchumba na watoto tu si vingine.
 
Hata uwe na hela kiasi gani lazima uzame pale ulipotoka paleeeeee[emoji108]
 
Babaako na mamaako wangekuaga na akili kma zako pengne we ungekuwa nini cjui!
 
Kiukweli cjawahi fikria kuwa na mpenzi au mchumba maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kuoa au kuzaa watoto ila mara nyingi nafikria kutafuta pesa tu si vingine
Sawa harmorapa
 
Duh naona mnazidi kumpa promo huyo ngedere mpaka mnamuweka kwenye avatar
 
Kama huhitaji kwa nini useme si ukae tu kimya acha porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…