Hata mimi nashangaa sensa ya mwaka huu sijui ni vipi, watu wanaichukulia kama kitu kipya. Tusubiri tuone mwisho wake.Hivi sensa ya mwaka huu ina tofauti gani na zilizopita? Toka tupate uhuru hii itakuwa sensa ya nne au ya tano na huko nyuma watu walihesabiwa bila matatizo. Tena makarani walikuwa ni wanafunzi wa shule za sekondari. Mwaka huu sensa imefanywa kama vile ni kitu kipya. Naweza kutowashangaa vijana ambao hii ndiyo sensa yao ya kwanza lakini kwa watu wazima kuhojihoji na madai yasiyo na msingi ni ujinga.
Malalamiko hayatokosekana hasa hao makarani baada ya sensa utasikia.Iseee baba yangu mi nawasi wasi na hawa makarani inaweza ikafika siku ya kuhesabu watu nao wakagoma wakidai posho ya kufanya kazi mazingira magumu
mbege yandu ananituma nisihesabiwe