Nilikuwa na miezi zaidi ya mitatu sipati Star Tv kwente Dish langu. Jumapili ya tarehe 25/08/2013 hata ITV , EATV, Capital na Channel 10 nazo zilapotea kabisa. Ajabu jana bila hata kutafuta fundi zikarudi zote hata Star TV ambayo ilishapotea siku nyingi.