Sign Up kwenye Domain

Sign Up kwenye Domain

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu ndugu wanajf, nahitaji kuregister users kwenye domain yangu ambayo ni ujamaa.com "mfano:-kholo@ujamaa.com.
Naomba msaada wenu, nawezaje kufanya hivyo? Natanguliza shukrani
 
Habari zenu ndugu wanajf, nahitaji kuregister users kwenye domain yangu ambayo ni ujamaa.com "mfano:-kholo@ujamaa.com.
Naomba msaada wenu, nawezaje kufanya hivyo? Natanguliza shukrani
Ili uweze kutumia email za namna hiyo inabidi uwe na email hosting... Je umeregister domain peke yake au pia una hosting package? Kama ndiyo niambie ili nikuelekeze namna ya kuzitengeneza izo email.. Kama hapana, hauwezi kuwa na emails kwa kutumia domain peke yake, zamani kidogo Google walikua wanatoa free service ya custom domain, lakini kwa sasa inabidi kulipia.
Kama utakua interested tunaweza kuzungumza kisha mimi nikakuhostia domain yako kwa gharama nafuu then utaweza kutumia custom domain.
 
Nina rafiki anataka kujiunga jamii forum. Nsomba link nimtumie.
 
Back
Top Bottom