Sigh your partner is gay

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Akiwa anataka nyuma au anakuomba ,tight clothes (tight shirt,tight jeans ).gym(mazoezi yanayozidi kipimo remember they take shower there,usafi ( mwanaume akiwa msafi kupindukia ),best friend ambaye anamdhamini kuliko mkewe, anapenda kuvaa nguo Za kike .Anakung 'an g'ania sana anakuintroduce kwa rafiki Zake one week baada ya kuwa wote.Hana interest na sex (Kama ni mume Kama anataka nyuma tu ujue ndio hivyo)muwe waangalifu jamani.wengine wanaoa as cover up au wawe na watoto
 

Pole sana Natalia, naona uligongana nao sana na umepata shule nzuri ya kuwaelimisha wenzio
 

Hapo kwenye nyekundu hebu fafanua kwa undani please, huenda ukakosana na wengi mjini
 
Pole sana Natalia, naona uligongana nao sana na umepata shule nzuri ya kuwaelimisha wenzio

Huku USA wapo kibao.kikwete akisema gay ruksa mtawaona.Raisi wa Malawi ruksa.wapo kibao Newyork rafiki yangu mbongo kaolewa na hao lakini jamaa Ana hela.wana open marriage .Tanzania Hakuna bath houses ?
 
LOL y shud i marry a woman and waste my time while i can get married to the man of my dreams? unadhani siwezi kutafuta surrogate wa kunipatia mtoto au adoption?

usidandie treni kwa mbele Natalia utaishia kulia bure
 
Mi nikigundua ndo sintajali kabisa! Tena nitamuomba niwaangalie akati wana do!
 
LOL y shud i marry a woman and waste my time while i can get married to the man of my dreams? unadhani siwezi kutafuta surrogate wa kunipatia mtoto au adoption?

usidandie treni kwa mbele Natalia utaishia kulia bure
Usikariri, kudandia treni inategemea inaelekea mbele au nyumba..!! ukikariri kudandia nyuma na siku hiyo ukaikuta inaelekea nyuma utagongwa au udondoke vibaya...
 
Huku USA wapo kibao.kikwete akisema gay ruksa mtawaona.Raisi wa Malawi ruksa.wapo kibao Newyork rafiki yangu mbongo kaolewa na hao lakini jamaa Ana hela.wana open marriage .Tanzania Hakuna bath houses ?
Bath houses ndio nn mkuu,hebu tueleze?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…