Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

Wakaka furha hiyo hapo. Naona jimbo liko wazi linasubiri mgombea sumbai wewe hutaki kugombea?
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida wazee wa fursa hawachelewi...na huko pm matapeli watakuwa wamemiminikaje? Ushauri wangu hawa wa humu wapotezee kama mchumba tafuta huko mtaani kwenu
Khantwe kwa kuharibia wengine haujambo, hatariiii
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Mkristo, miaka 30, urefu wa wastani, mweusi, mwembamba. Kabila kutoka kusini mwa tz. Nina kazi na kipato kizuri tu. Nina ishi pekee yangu. Nina gari na kiwanja na if all goes well ninategemea kuanza kujenga mwakani. Elimu nina degree, na kwa sasa ninamalizia masters yangu.

Sijawahi kuolewa na sina mtoto.

Nimekua kwenye mahusiano ya mbali/long distance yapata miaka mitano sasa na mkaka (34yrs) ambae ninampenda na yeye naamini ananipenda ila naona miaka inazidi kuyoyoma bila dalili za kijana huyu kupropose.Tulifahamiana tukiwa chuoni lakini baada ya kugraduate tukapata kazi miji tofauti. Wote ni waajiriwa wa serikalini. Tunawasiliana kwa simu na kuonana ni mara chache mno.

Natamani sana kuolewa na baadae kupata mtoto lakini hilo bado halijatokea. Nikimuuliza anasema bado, nisubiri, kwa sasa familia yake bado inamtegemea.

Najua yote ni mipango ya Mungu na niko tayari kwa lolote alilopanga juu yangu lakini ukweli ni kwamba inaniuma sana kuona wenzangu wa rika langu wana familia na mie. In a sense najihesabu kama I am a single woman.

Naomba ushauri na maneno ya kunipa faraja ili nijisikie siko peke yangu kwenye situation hii.

Huyo wewe siyo chaguo lake tena unajipotezea mda fanya maamuzi tafta wa ndoa, familia na mengineyo acha kulemaa kifikira juu ya mapenzi na maisha ya ndoa,
 
Back
Top Bottom