Njoo ujenge...π€£Aweeee kwenye miti........
Yanapenda kufata mkumbo na umbea..Mwanamke wa kibongo analalamika,
"Kwanini wanaume wanataka mwanamke bikra wakati wao hawana hiyo bikra?"
Ukimuuliza,
"Kwanini na nyie wanawake mnataka wanaume matajiri wakati nyie wenyewe ni masikini? Anakukasirikia.
Kafa huyoClassmate mbona jicho lako halina mboni?
Wa Tanganyika mkuuHao ni watanzania wa wapi, Mpitimbi?
ππππππClassmate mbona jicho lako halina mboni?
Kwenye hilo jangwa au sehemu nyingine πNjoo ujenge...π€£
Classmate kikao chetu cha mwisho tulikataa haya mambo ya kukubali kuitwa mubabaππππππ
Hako ndio kale kamenisevu kwenye sim yake "mubaba wangu"
Nikweli kabisa, jangwa la moyoni mwangu lipo wazi kabisa na ukijenga kivulini utatulia......πKwenye hilo jangwa au sehemu nyingine π
Nikuokotee mawe we mzee πNikweli kabisa, jangwa la moyoni mwangu lipo wazi kabisa na ukijenga kivulini utatulia......π
Lakini kwenye sim usinisevu "mubaba wangu" kama haka ka Gen-Z kanako nisumbua...π