The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,420
- 2,913
ok.🐒1. Hatujui tunataka nini, lini ,na kwa nini
2. Tunapenda kupuuzia mambo ya msingi
3.Wepesi kusahau
4.Wazito kusoma vitabu
.........
Shusha zingine unazozijua
"When an introvert speaks ,every word reasonate"
Yes baby kula maisha uzee waja 🤗Pamoja na shida zetu zooote, msiache kula jamani, hakikisha muda wote umeshiba.....
Umesahau hii...Naunga mkono hoja
Sifa nyingine wakarimu sana
Njaa ni mbaya sanaPamoja na shida zetu zooote, msiache kula jamani, hakikisha muda wote umeshiba.....
Nakumchukia samiaTunampenda Lissu
Aweeee kwenye miti........Umesahau hii...View attachment 3695237
Havifanani bana 😅Mwanamke wa kibongo analalamika,
"Kwanini wanaume wanataka mwanamke bikra wakati wao hawana hiyo bikra?"
Ukimuuliza,
"Kwanini na nyie wanawake mnataka wanaume matajiri wakati nyie wenyewe ni masikini? Anakukasirikia.
Classmate mbona jicho lako halina mboni?Umesahau hii...View attachment 3695237