bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,275 Mar 18, 2013 #21 Sio wachoyo wachoyo wa vitu vyao kabisa . Unaweza kuvuna ukoo mzima.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 Mar 18, 2013 #22 Thread zinazoelezea Warangi ni hizi hapa:- UNAWAFAHAMU WARANGI. WARANGI WANA SIFA GANI? WARANGI NA NYOKA. Kumbuka tabia ni kila mtu na yake.
Thread zinazoelezea Warangi ni hizi hapa:- UNAWAFAHAMU WARANGI. WARANGI WANA SIFA GANI? WARANGI NA NYOKA. Kumbuka tabia ni kila mtu na yake.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,368 Mar 18, 2013 #23 Mrembo by Nature said: Wanapenda kupigwa miti sana hata kama wameolewa, hii nenda kondoa mjini uliza utaambiwa! Click to expand... Hivi ukifuatilia kupigwa miti niambie kabila gani imetulia?mi naona makabila yote hayajatulia labda hulka ya mtu tu.
Mrembo by Nature said: Wanapenda kupigwa miti sana hata kama wameolewa, hii nenda kondoa mjini uliza utaambiwa! Click to expand... Hivi ukifuatilia kupigwa miti niambie kabila gani imetulia?mi naona makabila yote hayajatulia labda hulka ya mtu tu.
N nojo Member Joined Mar 14, 2013 Posts 90 Reaction score 10 Mar 18, 2013 #24 je wanajf hao warang kwa mtazamo wenu wanaweza kutulia wakiolewa?
W winer New Member Joined Mar 18, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Mar 18, 2013 #25 hehehehehehehehehe mwe mwe hawafai kabisa ukiomba tu unapewa
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 2,071 Reaction score 1,317 Mar 18, 2013 #26 Mrembo by Nature said: Nimeliona hii comment yako wakati nishaweka comment yangu, kama ulikuwepo yani wanawake wale ni chupi mkononi! hupenda sana bia za bure kutoka kwa wanaume Click to expand... umeonaee sasa najiuliza kwa nini hawanyimi aisee? au huwa hawaridhiki na mautamu kwa mume mmoja?
Mrembo by Nature said: Nimeliona hii comment yako wakati nishaweka comment yangu, kama ulikuwepo yani wanawake wale ni chupi mkononi! hupenda sana bia za bure kutoka kwa wanaume Click to expand... umeonaee sasa najiuliza kwa nini hawanyimi aisee? au huwa hawaridhiki na mautamu kwa mume mmoja?
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,586 Reaction score 18,736 Mar 18, 2013 #27 kama tukipima makabila jumla jumla basi kazi ipo maana tumeshaoleana vya kutosha kiasi kwamba sasa tuanze kujadili na hybrids as well all in all, thread hii si nzuri na haina mashiko kwangu binafsi
kama tukipima makabila jumla jumla basi kazi ipo maana tumeshaoleana vya kutosha kiasi kwamba sasa tuanze kujadili na hybrids as well all in all, thread hii si nzuri na haina mashiko kwangu binafsi