Sifa za wanawake/wadada wanene

Wanene kwa macho kweli wanamvuto ila sasa wacha awe kama alivyozaliwa,dah!!kama boko. Ndo hivyo kila MTU na chaguo lake ila ukweli ni kwamba hata wanawake wanene hawajikubali
 
Mkuu huu ni uchochezi! by the way umeongea ukweli mtupu.. Most african men wanapenda sampuli tajwa hapa including me, myself and i...
 
Huuu uzi unakimbia aiseee ...... Hongereni vibonge !!!! Thu sijawahi kutaman kuwa mnene
 
tatzo ya vibonge ni michirizi, yaan mwanamke akiwa na michirizi nyege zote zinakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…