Sifa za wanawake/wadada wanene

Hata me za ugomvi kama za ile juzi nazikwepa sana ndio mana nilikimbia kule sema mods nao nikiingiaga jukwaa la siasa wananibanika nishajizoelea ban za siasani tumsubiri mpaka kwaresma iishe naona analikes tu post
ana likes!!
 
Ni wazuri ila wana changamoto zao, wana jasho kali sana yani akinyanyua mkono huko kwapani utadhani amepuliza Rungu.. mbu wote chaliiii, huko kwe Wizara ya mambo ya ndani sasa kama hajitunzi vizuri basi ni kama dagaa wakavu walionyeshewa na mvua.
 
Aaah kuoa kibonge ni shida,hawana pumzi,wavivu kufanya kazi,wanasweti sana,wanafit style chache,wengi wao wanamatumbo makubwa kiasi kwamba yanapunguza uhuru wa mwanaume.......nitaoa mwanamke wa wastani siyo tipwatipwa
 
Wanene kwa macho kweli wanamvuto ila sasa wacha awe kama alivyozaliwa,dah!!kama boko. Ndo hivyo kila MTU na chaguo lake ila ukweli ni kwamba hata wanawake wanene hawajikubali
 
Ni wazuri ila wana changamoto zao, wana jasho kali sana yani akinyanyua mkono huko kwapani utadhani amepuliza Rungu.. mbu wote chaliiii, huko kwe Wizara ya mambo ya ndani sasa kama hajitunzi vizuri basi ni kama dagaa wakavu walionyeshewa na mvua.
Mpulize mabody spray maperfum hutosikia harufu yeyote
 
Aaah kuoa kibonge ni shida,hawana pumzi,wavivu kufanya kazi,wanasweti sana,wanafit style chache,wengi wao wanamatumbo makubwa kiasi kwamba yanapunguza uhuru wa mwanaume.......nitaoa mwanamke wa wastani siyo tipwatipwa
Jomoniiiii usitufanyie hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…