Sifa za wanawake/wadada wanene

Ashakuum si matusi
wanawake wanene tumbo hapo hapo
kiuno hapo hapo
matiti hapo hapo
makalio hapo hapo

kiufupi wapo kama vipande vya magogo
Siyo unene uwo ww mwanamke mnene ambaye hana tumbo kiuno kinaonekana siyo kifutu
 
hahaha hamna bamdogo sijakuona hapo ukiwaongelea je ni kweli hizo sifa na kibonge unae
Haya ngoja nikiri haraka kabla wifi zako wembamba hawajapita huku.

Mamdogo mwanamke mnene/chibonge anaraha zake na hizo sifa haujakosea hata moja natamani niongeze zingine ila nitalitia maji.
 
Haya ngoja nikiri haraka kabla wifi zako wembamba hawajapita huku.

Mamdogo mwanamke mnene/chibonge anaraha zake na hizo sifa haujakosea hata moja natamani niongeze zingine ila nitalitia maji.
kweli vibonge tuna raha hujutiii kuwa nasi
kwahiyo vimbau mbau bamdogo ww wala huwataki
 
kweli vibonge tuna raha hujutiii kuwa nasi
kwahiyo vimbau mbau bamdogo ww wala huwataki
Hao nimewaachia Asprin. Mwanamke nyama mamdogo. Usiongeze swali tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…