Sifa za wanawake/wadada wanene


temea mate chini mtoto. Huwajui weye
 


Mmmmh? nakataa labda ingekuwa matukunyema na si wanene, mi nshakuwaga na mnene na alikuwa ni mwenyeji wa KG ni mtata na mbishi kinyama.
 
Uwiiiiiiii The Boss sasa sie tutapataje waume sasa kama ndo waanzisha sredi kutuponda wembamba wa reli yakhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…