1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
Wakifanikiwa kupunguza uzito na kuwa si Wanene bado wanakuwa hivyo hivyo?
Na wale Vimodo wakishakuwa wanene, je wanakuwa na tabia kama za wanene?
sex tena?huja try ile yangu ya sex for pleasure
utapendwa tu
daah sikumbuki ...hebu niwekee link bro? but kwani kuolewa ni issue sana?hukumbuki?
some sex for pleasure
some sex kwa kudanganywa wataolewa ...
ni wasumbufu km unavojionea live..Wakuu vipi kwa wanawake wembamba?maana huyu wangu anasumbua kweli...
Na size ya kati/wastani nao wanakuwaje?
Hmm kweli wembamba wana kisirani sana, tofauti na wanene.
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......