Sifa za Wamakua

Sifa za Wamakua

Ommy6

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
67
Reaction score
185
Habari zenu wakuu naomba kufahamu sifa za wanawake wa kimakua
 
Ukishapewa anza na kazi ya kuangalia na sifa za ukoo wake, uje na kwenye familia then umalize kwenye personal behaviors.

Kivumbi leo.
 
Hakuna siri yeyote, kama umempenda kitabia yupo umeridhia/kakupenda oa,

Hayo mambo ya makabila ni kukaririshwa tu,


Kila kabila now wanaziliwa malaya na hao wa kukata viuno kuwazidi hao waliowakariri watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom