Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 319
- 695
Wakikuona mjanja sana hutaki kufa mapema wanakuwekea steel wire kwenye chakula upate kansa ya utumbo ufe au wanakutengenezea kisukari sugu kikutafute taratibuwana bana uch mno na ukizingua wanakung`ata mjomba wakupe maumivu usiombe tena gemu.
Anapooza injini
Injini inawaka moto
Hizi ni sifa za wanawake almost wote1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
Siyo kweli . Ni uongo huu nimezaa na mmachame alikuwa mtu mwema san1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
Wamakonde wamejaa akakomae nao, wamachame hawapo kwa kwa ajili ya kila mtu, apunguze milioSiyo kweli . Ni uongo huu nimezaa na mmachame alikuwa mtu mwema san
mnyonge mnyonge haki yake mpeni1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno