Katika maendeleo ya sayansi na teknolojia, kampuni inayotengeneza simu za TECNO sasa imekuja kitofauti na simu Phantom 6 ambayo ndio toleo jipya kabisa. Simu hii imekuja na vitu vingi vipya ukilinganisha na matoleo yake mengine. Baadhi ya sifa hizo ni:
1.Ina kamera mbili nyuma
2. Ni nyembamba
Wembamba wake ni sawa na kupanga vipande thelathini vya karatasi za rimu zilizolaliana na kufanya simu iwe na mvuto wa pekee.
3.Ina Mwonekano Mzuri
Na hizi ndizo sifa zake kwa ufupisho
To be honest sifanyi kazi Tecno, Mi naandikaga makala za kisayansi, vifaa vya kidigitali, mambo ya TV, saa, camera niko tu interested na ni mfuatiliaji sana. Mkuu bei yake Siku ya Tarehe 8 Jumamosi hii watauza kwa Sh.589999/=

L8 jamaa wanauza 270,000/= na C9 wanauza 360,000/= Kuhusu uzuri C9 imezidi ila sema L8 inadumu sana na chaji ukilinganisha na C9. Lakini kwa ubora C9 iko poa sana mkuu.