Ni kweli kabisa sisi wanaume ni watu wa Tamaa sana, kwa hiyo ukiwapata wanne wa dizain tofauti atleast tamaa inaweza ikapungua au kuondoka kabisa, ukizingatia Dini inasema ukifikisha wanne alafu ukaendelea kuzin nje na wengine wewe ni wa motoni tu
Unakuta johnthebaptist anao zaidi ya wawili na michepuko juu na anamudu na buku 7 Za Lumumba Kila siku. Mmatumbi binadamu mbishi Sana.Nimebaki na butwaa baada ya kumsikiliza uyu mama anayesema kwamba mwanaume kamili ni lazima uwe na mke zaidi ya mmoja
Kwa upande wangu naunga mkono hoja yake
Mpaka sasa najiuliza kapata wapi ujasili wa kuongea ayo maneno
Wanawake Kama hawa ni wachache sana duniani
Akili za mtu mweusi!!Nimebaki na butwaa baada ya kumsikiliza uyu mama anayesema kwamba mwanaume kamili ni lazima uwe na mke zaidi ya mmoja
Kwa upande wangu naunga mkono hoja yake
Mpaka sasa najiuliza kapata wapi ujasili wa kuongea ayo maneno
Wanawake Kama hawa ni wachache sana duniani
Hahaha......!Unakuta johnthebaptist anao zaidi ya wawili na michepuko juu na anamudu na buku 7 Za Lumumba Kila siku. Mmatumbi binadamu mbishi Sana.
[emoji106]iyo sio tamaa…ndo tulivyoumbwa
We ni mwanaume? Kama ndio na ni rijali oa zaidi ya mwanamke upunguze michepuko. Acha janja janja. Ni kweli mwanaume rijali hatosheki na mwanamke mmojaHawa watu hawawazi juu ya jamii bora iliyoelimika, yenye maji safi na salama ya kunywa, afya bora na malezi bora, hawazungumzii kusaidia jamii zenye uhutaji ziinuke wao mijadala yao baada ya shibe ni ngono, ngono, ngono. Ni watu wa hovyo sana.
Na udenda ukamtokaKo iyo butwaa ilikua ya nn na unakubaliana nae,na usikute wakt wa butwaa ulifungua mdomo na ukajishika kichwa kabisa *****