Kuuliza si ujinga. Lakini labda angeulizia kwa wat wa hukohuko sio hapa mtandaoni. Ni vyema ukajua watu wa sehemu fulani walivyo kwani tabia zinatofautiana. Sehemu nyingine ni wachapa kazi kama hao Warombo, sehemu nyingine ni wavivu, kwingine ni majambazi, kwingine ni vihiyo, kwingine wanagawa sana, kwingine ni wachawi etc.