Si ndo mambo haya ya kujifanya mlokole eti nisizini nae mpaka ndoa.
Me nikakubali,tukaoana.
Kufika nyumbani katikati ya mashamsham namgusa sehemu sehemu nashangaa pako flati,
kufunua hv,hana kabisa mashine.
Uwii...niliomba talaka na kesho yake nikarudi kwetu.
Mpaka leo niko kwetu,maana dah!