MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,544
Jamani hizi ndo sifa za mpenzi wangu weka na zako kama unazo;
POSITIVE;
1: Mpole sana.
2: Msikivu.
3: Mwerevu.
4: Bahiili sio mpenzi wa kutumia pesa.
5: Hapendi nikasirike.
6: Hapendi kabisa niwe na marafiki magester ambao ni washawishi wa anasa
7: Msafi.
8: Hasuki yeye anapenda kunyoa kuliko.
9: Ananipenda sana.
10: Anajua kupika na bajeti ya msosi anajua.
11:Hanifichi kitu hata kimoja hata mtu akimkonyeza kuomba namba lazima aniambie japo namjua sio rahisi kumpa mtu namba yake.
12: Mkigombana yeye huwa wa kwanza kuomba msamaha na kusahau.
13:hajawai niomba pesa hata kumi japo hafanyi kazi hadi mimi niamue kumtumia. koz yuko kwa mama yake. na ni village
NEGATIVE;
1: Anapenda kumsikiliza mtu hatakama anachelewa mahali.
2: Anapenda kuchat sana japo nimemrekebisha.
3: Akienda mahali anapenda kuchelewa hatakama ni mjini akiondoka saa 3 kurudi ni saa 3 usiku.(hii ni kwa mji tuliokuwepo kampala koz kuna foleni sio ya watu wala magari koz huwa namkubalia kozi sio mshap)
4: Akipata pesa akiwa hana pesa huwezi mjua utashangaa anakuambia niko na pesa tsh kadhaa.
5: Anamaamuzi yake mda mwingine akiamua kitu kaamua bila hata kushirikisha.