Sifa za Mgombea binafsi ni zipi??

Sifa za Mgombea binafsi ni zipi??

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
277
Reaction score
462
salamu kwa jina la Allah.
Mimi kama raia mzawa wa jamhuri ya muungano, ninaomba kujuzwa sifa stahiki za mgombea binafsi na pia endapo atashinda kiti cha uraisi, atateua vipi baraza lake la mawaziri?
Pia je,kuna nchi imewahi kuongozwa na raisi wa hivi?
Shukrani, mbarikiwe.
 
kuhusu sifa zake soma rasimu ya pili ya katiba imeeleza atatakiwa kuwa na sifa kama zile zilizoainishwa kwa mgombea toka chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kisheria.
nadhani hata uteuzi wa baraza la mawaziri lazima atafuata utaratibu kama katiba ilivyoainisha kuhusu baraza la mawaziri katika serikali zote tatu.
 
nashukuru ndugu, wacha niitafute hii rasimu ya pili ya katiba mpya labda naweza pata lolote.
 
salamu kwa jina la Allah.
Mimi kama raia mzawa wa jamhuri ya muungano, ninaomba kujuzwa sifa stahiki za mgombea binafsi na pia endapo atashinda kiti cha uraisi, atateua vipi baraza lake la mawaziri?
Pia je,kuna nchi imewahi kuongozwa na raisi wa hivi?
Shukrani, mbarikiwe.

1. Awe msaliti kama
zzk
2. Awe anatoka
kigoma/muha
3. Awe ametumika
kuua upinzani kama
zzk na kafulila
4. Awe mbunge wa
mahakama kuelekea
uchaguzi mkuu
5. Awe na umri wa
miaka kuanzia 35
lakini awe hajaoa
au kuolewa
 
1. Awe msaliti kama
zzk
2. Awe anatoka
kigoma/muha
3. Awe ametumika
kuua upinzani kama
zzk na kafulila
4. Awe mbunge wa
mahakama kuelekea
uchaguzi mkuu
5. Awe na umri wa
miaka kuanzia 35
lakini awe hajaoa
au kuolewa

bila shaka hili ni tango pori.
 
1. Awe msaliti kama
zzk
2. Awe anatoka
kigoma/muha
3. Awe ametumika
kuua upinzani kama
zzk na kafulila
4. Awe mbunge wa
mahakama kuelekea
uchaguzi mkuu
5. Awe na umri wa
miaka kuanzia 35
lakini awe hajaoa
au kuolewa
1507718_504244923030513_309303730_n.jpg
 
Back
Top Bottom