Sifa za Mbunge wa jimbo la Bahi tumtakae

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Zifuatazo ni sifa za Mbunge wa jimbo la Bahi ambazo tunataka mwakilishi watu ajaye awe nazo,sifa hizi zimetokana na mapungufu ya Mbunge aliyopo ambayo tumeyaona nahatutaki mapungufu hayo yawepo kwa mbunge ajae.

Kwa kuwa mbunge aliyopo Mh Omary Badwel teyari tuimeisha mpa pongezi kwa kazi nzuri aliyoisha ifanya kwa kipindi cha miaka 5 na kwamba tumeisha mwambia akatafute kazi ingine basi tunahitaji mwakilishi mwenye sifa zifuatazo:-

  1. Awe na umri wa miaka 25 nakuendelea,miaka 18 kama katiba inavyosema asigombee hatutamchagua.
  2. Awe mgogo halisi kwa maana wazazi wake wote wawe wagogo, asiwe chotala, na ajue kuzungumza kigogo (chinyambwa)kwa ufasaha.
  3. Awe mkazi wa Bahi “mwanachugu” wa Bahi sokoni na kwingine wasiombe hatuwezi kuwachagua
  4. Awe na elimu ya juu Diploma holder na zaidi
  5. Awe na uwezo wa kujenga hoja ili aweze kupambana na wabunge machachari kama Tundu Lissu au John Mnyika au KangiLugola.
  6. Asiwe na tabia ya kuomba au kupokea rushwa,mwakilishi wa safari hii hatutaki mwenye tabia hiyo kwani tumejionea wenyewe mwakilishi wetu aliyopo alivyokuwa anatumia mda mwingi mahakamani na sisi kukosa mwakilishi.
  7. Awe na shamba la mpunga au mtama
  8. Awe na uwezo wa kulima au kuchunga ng`ombe kutwa(mgulo), kuchimba kisima, kujenga mlambo na kuesea.
  9. Awe na uwezo wa kupiga uwele au Lugugu au mpunga sinda moja kwa kutumia mikotya bila kusaidiwa
  10. Asiwe mlevi wa kupindukia, ambaye hanywi pombe ana sifa za ziada
  11. Awe mwanachama wa chama cha siasa kilicho na usajili wa kudumu, asiwe mtu wa kuhama hama vyama, na awe mwanachama wa chama atakachogombea siyo chini ya miaka 5
  12. Awe mcha mungu awe na dini inayoelewekana ucha mungu wake usiwe wa kutilia mashaka , kama mpagani asiombe hatuwezikumchagua
  13. Awe na DHIMA (mission) na MAONO(vision), ajue kwenye jimbo kuna matatizo gani na namna gani ataweza kuyatatua
  14. Asiwe mshirikina na asijihusishe na vitendo vya kishirikina kabisa, asiwe mtu wa kupiga ramli chonganishi kama mbunge Fulani wa Tanga, wenye sifa kama mbunge Fulani wa Tanga wasikanyage kwenye jimbo letu.
  15. Awe ameowa au ameolewa ili tumpime uwezo wake katika kutunza familia yake sifa ambayo itaturidhisha kuwa na uwezo wa kututunza sisi wana jamii.
Mtangaza nia yoyote anayeona ana sifa hizo anakaribishwa kugombea kwenye jimbo letu tukufu la Bahi lililobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kama urina,ngombe, mibuyu , ukwaju, Karanga, unala, jimbo lenye usafiri wa reli na balabala, jimbo lenye misikiti na makanisa.

INTERVIEW PANEL YA CHAMA CHOCHOTE HAIWEZI KUFANYA UPENDELEO WOWOTE

Karibuni.
 
kuna kijana tulisoma nae st johns university anaitwa ISSA OMARI, anatokea pale pale bahi.huyu kijana ana ushawish mkubwa na mkimpendekeza atapita anafaham sana kujieleza
 
Acha ubaguzi Tanzania ni yetu sote bila kujali dini wala kabila la mtu. Cha msingi unatakiwa kuchagua kiongozi mwenye sifa za kiuongozi kama uadilifu, hekima, busara, utu, nk.
 
ni kwel unachosema,ila kama UKAWA wangejaribu kuongea na huyu kijana vizur,lazima atashinda,anasifa zote za kuitwa mbunge hata sisi wakati tulikuwa tunasoma nae tulikuwa tunamwita MBUNGE WA BAHI
 
Nikutakieni kila lililo la heri katika kuweza kumpata huyo kiongozi
 
Acha ubaguzi Tanzania ni yetu sote bila kujali dini wala kabila la mtu. Cha msingi unatakiwa kuchagua kiongozi mwenye sifa za kiuongozi kama uadilifu, hekima, busara, utu, nk.

Hatukufanya ubaguzi tukamchagua Omary Badwel chotara wa kiarabu lakini mambo aliyotufanyia wee acha tu,kwa hili sasa heri lawama kuliko fedheha tuliyopata
 
Hukumu ya Omari badweli bado? mpeni huyo huyo ndio chaguo la kwenu
 
Mleta hoja,jimbo la Bahi siyo Bahi Sokoni pekee,jimbo linaanzia Mundemu,Mayamaya,Lamaiti,Lindi hadi Chibelela,sasa unataka sifa ya mgombea azungumze chinyambwa,Mundemu au Chibelela hawazungumzi cigogo cha chinyambwa,unataka mgombea atakayepiga mtama uwele na mkotya,au achunge ng"ombe mgulo,kwani mnachagua mbunge wa kuchunga ng"ombe? Hata mwenyekiti wa kitongoji huwezi mchagua kwa sifa hizo unazotaka wewe labda sifa ya mtu anayetaka kuoa Bahi Sokoni
 
No, my concept here is I want our legislature to feel the most painful pitch of our economical hardship,and Bahi means Mwanachugu and vize vies
 
Huyu aliyewek sifa hizi za Mbunge wa Bahi akili zake ni Matope kabisa.
 
What you pointed out there is foolishness. Feeling economical pains doesn't mean he/ she is to relieve everything of what you feel like having. Poor guys always think their MP will do everything Fooooooolish mind set! come up and learn from other constituency are they developing because of having MP from their clan alone???? open up your thinking out of the box.

Others are ponting out that so and so when he was in the University usually called him a Bahi Mp!!!! aaaaaagh! aliyeandika post hii na huyo aliyependekezwa wote pumba tupu PUMBAFUUU ZENU
 
Sibishani na mshenzi, huenda ukoo wenu wote niwashenzi kutokana na lugha zako .
 
Waambieni watangaze nia mapema ili muwachambue kupata mwenye sifa hizo
 
Namba
6. Ni sifa moja wapo kwa mgogo kuwa ombaomba
10. Asili ya mgogo ni ulevi
 
Zifuatazo ni sifa za Mbunge wa jimbo la Bahi ambazo tunataka mwakilishi watu ajaye awe nazo,sifa hizi zimetokana na mapungufu ya Mbunge aliyopo ambayo tumeyaona nahatutaki mapungufu hayo yawepo kwa mbunge ajae.

Kwa kuwa mbunge aliyopo Mh Omary Badwel teyari tuimeisha mpa pongezi kwa kazi nzuri aliyoisha ifanya kwa kipindi cha miaka 5 na kwamba tumeisha mwambia akatafute kazi ingine basi tunahitaji mwakilishi mwenye sifa zifuatazo:-

  1. Awe na umri wa miaka 25 nakuendelea,miaka 18 kama katiba inavyosema asigombee hatutamchagua.
  2. Awe mgogo halisi kwa maana wazazi wake wote wawe wagogo, asiwe chotala, na ajue kuzungumza kigogo (chinyambwa)kwa ufasaha.
  3. Awe mkazi wa Bahi “mwanachugu” wa Bahi sokoni na kwingine wasiombe hatuwezi kuwachagua
  4. Awe na elimu ya juu Diploma holder na zaidi
  5. Awe na uwezo wa kujenga hoja ili aweze kupambana na wabunge machachari kama Tundu Lissu au John Mnyika au KangiLugola.
  6. Asiwe na tabia ya kuomba au kupokea rushwa,mwakilishi wa safari hii hatutaki mwenye tabia hiyo kwani tumejionea wenyewe mwakilishi wetu aliyopo alivyokuwa anatumia mda mwingi mahakamani na sisi kukosa mwakilishi.
  7. Awe na shamba la mpunga au mtama
  8. Awe na uwezo wa kulima au kuchunga ng`ombe kutwa(mgulo), kuchimba kisima, kujenga mlambo na kuesea.
  9. Awe na uwezo wa kupiga uwele au Lugugu au mpunga sinda moja kwa kutumia mikotya bila kusaidiwa
  10. Asiwe mlevi wa kupindukia, ambaye hanywi pombe ana sifa za ziada
  11. Awe mwanachama wa chama cha siasa kilicho na usajili wa kudumu, asiwe mtu wa kuhama hama vyama, na awe mwanachama wa chama atakachogombea siyo chini ya miaka 5
  12. Awe mcha mungu awe na dini inayoelewekana ucha mungu wake usiwe wa kutilia mashaka , kama mpagani asiombe hatuwezikumchagua
  13. Awe na DHIMA (mission) na MAONO(vision), ajue kwenye jimbo kuna matatizo gani na namna gani ataweza kuyatatua
  14. Asiwe mshirikina na asijihusishe na vitendo vya kishirikina kabisa, asiwe mtu wa kupiga ramli chonganishi kama mbunge Fulani wa Tanga, wenye sifa kama mbunge Fulani wa Tanga wasikanyage kwenye jimbo letu.
  15. Awe ameowa au ameolewa ili tumpime uwezo wake katika kutunza familia yake sifa ambayo itaturidhisha kuwa na uwezo wa kututunza sisi wana jamii.
Mtangaza nia yoyote anayeona ana sifa hizo anakaribishwa kugombea kwenye jimbo letu tukufu la Bahi lililobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kama urina,ngombe, mibuyu , ukwaju, Karanga, unala, jimbo lenye usafiri wa reli na balabala, jimbo lenye misikiti na makanisa.

INTERVIEW PANEL YA CHAMA CHOCHOTE HAIWEZI KUFANYA UPENDELEO WOWOTE

Karibuni.

Chilewa kwa Bahi Mpya Yenye Maendeleo
CCM oyeeeeee, Bahi kwa Chilewa
 
Back
Top Bottom