Tatizo sio wapishi . Unajua mbegu za maharage ya Enzi hizo ni tofauti na sasa tena mbegu za mazao mengi si kama za kale. Kama utakumbuka huko nyuma kidogo hata viazi vitam vilikua na aina 2 au 3 ie karoti vile viazi vyenye rangi ya carrot na kuna mbegu nyingine ilikua inaitwa ..........nimeisahau ilikua na viazi vyeupe ndani ni kama yellowish hivi . Basi viazi vile vilikua vitamu mno. Mambo ya maendeleo si unajua tena kila kitu tunarahisisha badala ya kuvuna after 6mths unavuna after 3 mthsTatizo ni nini Ablessed!? Wapishi wa siku hizi wanalipua!? au wapishi hawaoni utamu wa chakula walichokipika au ni aje?.... Mie lakini wali wa magahare wa mwaka 47 na wa sasa bado ladha yake ni ile ile 🙂🙂
ahahaaaa yaani hata punje moja haionekani eneo la tukio!....Labda mwaJ lakini mie nikila wali na maharage hata miaka hii bado utamu ni ule ule kama enzi za mwaka 47 kwi kwi kwi kwi....mie enzi hizo wali na maharage nilikuwa nakula tu wala sishibi kwi kwi kwi kwi naomba kuongezewa tu 🙂🙂🙂 ngoja mashahidi wako akina Ablessed na Smile waje wathibitishe hili.
ahahaaaa usinikumbushe ya mkate mwenzangu!miminilikuwa nalilia slesi zangu nizile usiku yaani nilikuwa siwezi kabisa kusubiri asubui ifike kwi kwi lkwiiiii ...unakumbuka sukari kufichwa kuliko pesa! mitoto ya siku hizi hata sukari hawaliHahahahaha ni kweli mwaJ ladha ya wali maharage tena yaliyoungwa kwa Nazi Enzi hizo ilikua bomba sana lkn kwa bahati mbaya ladha ile haipo tena kama mnakumbuka hata ladha ya mkate wa boflo ilikua bomba sijui nini kimebadilika siku hizi kila kitu kina ladha ya tofauti hata maziwa sio yale.
teh teh wa ukwee huyu !weka ya kwako kabisa kama mimi
Mnh! Smile sitasahau kisa cha sukari mie! Mpaka leo nikikumbuka alichokutana nacho rafiki yangu kwa wizi wa kulamba sukari nahisi kutapika! Kumbe watoto wa wakati wangu tulikuwa na tabia/vitu vingi vinafanana. Lol!ahahaaaa usinikumbushe ya mkate mwenzangu!miminilikuwa nalilia slesi zangu nizile usiku yaani nilikuwa siwezi kabisa kusubiri asubui ifike kwi kwi lkwiiiii ...unakumbuka sukari kufichwa kuliko pesa! mitoto ya siku hizi hata sukari hawali
cc@Mentor mwaJ
ahahaaaa umeona mambo ya kirimas? mama yao kina Mentor nae alikuwa anakaba jamani yaani pilau hadi xmas? hata vibirthday alikuwa hawatupii madogo mpunga hata wa maharage jamani?
Tatizo ni nini Ablessed!? Wapishi wa siku hizi wanalipua!? au wapishi hawaoni utamu wa chakula walichokipika au ni aje?.... Mie lakini wali wa maharage wa mwaka 47 na wa sasa bado ladha yake ni ile ile 🙂🙂
Ahahaha Smile pilau la maharage tuliliita pilau bubu. Hilo sasa ndo lilikuwa la hepi besidei. Pilau bubuu..dah Smile acha bana usinkumbushe zamani nasikia kurudi nyumbani mimi!
Ila pilau la kuku bana...hilo ni Kirimasi, pasaka na mwaka mpya..apo mnanunuliwa na soda kabisa!
Hehehe BAK au mpishi wako wa mwaka 47 na wa sasa ndo yule yule!??
hahahahah lol! mpishi wa mwaka 47 acha Mkuu usisikie anajua mapishi ya hali ya juu, yaani sikuwahi kula msosi katika mapishi yake nikasema hapa leo umechemsha ilikuwa ni raha tupu kukaa mezani kula misosi yake ya uhakika, siku hizi nakula gengeni 🙂🙂 hahahah lol! lakini bado wali re chuzi ja kwa BAK ladha ni ile ile
@bak umesemaje ati!?? Wala gengeni wakati kule kwenye lile lisredi umenishawishi kuoa mwakani!?? u kant be serious...
110% serious.
...and why so bro!?? Ilhali unanishawishi kuoa 2014 tena June!??
we unazo za kipekee zinazokufanya uwe kama mdogo wa malaikana mimi je sifai katika sifa hizo?
BAK usinambie bro kuwa ladha ya wali maharagwe ya 47 iliyoandaliwa kwa utaratibu bila papara italingana na ya leo mpishi anapikia miguu macho kwenye tamthiria na mlaji hali kadhalika akili, macho, mikono inaperuzi Jf !?
Wengi bado tunakiheshimu chakula kama tulivyofunzwa na wazazi wetu. Hivyo wakati wa kula ni wakati wa kula hakuna mtandao wala TV, kuhusu wapishi mie siwezi kuwajibia hili Mkuu.
real umenikumbusha long tym sana......but we were happy..no complications...Is your Mother AFRICAN? Or EAST AFRICAN? If you arent sure this is how you verify it:
1. You Know Your Mother Is African if she has a drawer or a place for keeping paper bags after buying something in it.
2. You Know Your Mother Is African if when she beats you up she says "unalia nini na hata sijakuchapa?"
3. You Know Your Mother Is African when she beats you with pauses; nani *slap* alikuambia *kick* ufanye *pinch* hivyo!"
4. You Know Your Mother Is African if she has ever tried to remove anything that looks like dirt from your face with her saliva, even a birthmark.
5. You Know Your Mother Is African if she asks you questions that have no answers 'Kwanini ulivunja thermos?'
6. You Know Your Mother Is African if after whipping you she threatens you with, "na nisikie ukilia uone"
7. You Know Your Mother Is African If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
8. You Know Your Mother Is African if she has special plates and cups different levels of guests
9. You Know Your Mother Is African when even after youve grown up she still sits you down and plaits your hair.
10. You Know Your Mother Is African if she ever told you "kama mimi sio mama yako, jaribu tu'
11. You Know Your Mother Is African when you are Tabu/ Angela, and she tells you "mwambie umetumwa na mama Tabu/Angela"
12. You Know Your Mother Is African if she has a list of neighbors and relatives where you should not dare step into."nione umepeleka miguu huko"
13. You Know Your Mother Is African When she calls you from the bedroom to bring her something that is right there on the table.
14. You Know Your Mother Is African If you fall asleep on the couch but wake up in your bed,well covered
15. You Know Your Mother Is African if every new baby in the family must have a deceased relatives name
16. You Know Your Mother Is African if she threatens to hit you by actually hitting you!
17. You Know Your Mother Is African when you lose money and she says shika hizi nyingine pia ukapoteze!
18. You Know Your Mother Is African when she buys you oversize uniform and says " hio utavaa hadi umalize shule"
19. You Know Your Mother Is African if you do something wrong she says "tunapiga makosa si wewe "
20. You Know Your Mother Is African if she spat on a handkerchief to wipe your face when you were young.
21. You Know Your Mother Is African when she is invited to a party and when she returns, she brings you the entire menu and soda in a paperbag or borrowed container.
22. You Know Your Mother Is African if you were beaten for eating at the neighbour's.