Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,559
Kwani kwenye post yangu kuna sehemu nimemlenga mtu?Tangu lini wanasheria/ wahitimu kutoka Ukraine ( sio mawakili) kutoka Ukraine waka- meet hivyo vigevyo ulivyovitaja?
Labda atatumia experience ya DPP?Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Kwani aliwahi kuwa DPP huyo Hamza?Labda atatumia experience ya DPP?
Soma katiba ibara ya 59 (3)Sifa kuu ni kuwa Kada wa Chama
Ni kijtabu tu hicho.Soma katiba ibara ya 59 (3)
We hujaona jana anamuuliza mwendesha mashitaka kama makubaliano yapo na yuesiii??Kwani aliwahi kuwa DPP huyo Hamza?
NywinywinywinywiNi kijtabu tu hicho.
Hajui sheria,itakuwa hata wanasheria hapo kitengoni wanamwingiza chaka kirahisi.Halafu akitoka hapo atakuja teuliwa kuwa jaji.Jaji hajui sheria za Tanzania.We hujaona jana anamuuliza mwendesha mashitaka kama makubaliano yapo na yuesiii??
Yule mtu aliposema hivyo ndio nikaona ni mweupe.Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Wakati wa jk alikua ofisi ya mwanasheria mkuu,magu alimpeleka aviation,ni miongoni mwa walioikomboa ndege ilipodakwa southHajui sheria,itakuwa hata wanasheria hapo kitengoni wanamwingiza chaka kirahisi.Halafu akitoka hapo atakuja teuliwa kuwa jaji.Jaji hajui sheria za Tanzania.
Bado una mentality ya 80s,90s,00s ya kwenda ulaya!?Yule mtu aliposema hivyo ndio nikaona ni mweupe.
Yaani sasa hivi ukitaka kukimbia Tanzania ni simple sana, unachukua hizo picha wanazouia watu wasiwe nazo, habari ya Usalama ya Ubalozi wa Marekani, BBC na Al-Jazeera unaeedna ubalozi wowote wa Ulaya wanakupa Assylum
Acha uongo,before alikuwa anafundisha NIT.Huyo hajawahi fanya kazi office ya mwanasheria before.Wakati wa jk alikua ofisi ya mwanasheria mkuu,magu alimpeleka aviation,ni miongoni mwa walioikomboa ndege ilipodakwa south
Hata mimi, Ni wapi nimemlenga mtu, Mimi nimezungumzia tu wanasheria/ mawakili wenye kutimiza vigezo ulivyo vitaja kwenye post yakoKwani kwenye post yangu kuna sehemu nimemlenga mtu?
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) | Mhe. Hamza S. Johari Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) | Mhe. Hamza S. JohariAcha uongo,before alikuwa anafundisha NIT.Huyo hajawahi fanya kazi office ya mwanasheria before.
All in all hana sifa, si wakili.Hajawahi faulu mtihani wa uwakili popote pale duniani.Halafu acha ukilaza. NIMESOMA POTE HAPO HAKUNA SEHEMU INASOMA KUWA ALIWAHI KUFANYA KAZI OFFICE YA MWANASHERIA KABLA YA KWENDA AVIATIONOfisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) | Mhe. Hamza S. Johari Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) | Mhe. Hamza S. Johari
Humjui hata kidogo ila unavyomuelezea
💯 💯NB: Sometimes N is silent in lines like T in listen