Habarin jaman mim nina shida naomba ushauri nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimefaulu kwa divition 2 ya point 10 na ningependa kusoma facat ya education niwe mwalimu wa kiswahili na geograph lakin geograph nina D na ukirud nyuma form 4 pia nilipata geograph D sasa itafaa kweli?