Competition ya watu wa arts ni kubwa mno kwa mwaka huu ila science people hata wenye div. 3 za 15 watachaguliwa baadaye kwenda chuo wakishaona wanafunzi wanaopita kwa science kwenda chuo ni wachache coz wengi wao tokeo lao ni div. 2 na 3 kwa ww wa HGL nisiwe mwongo hutaiweza competition ya kozi nzuri ambazo watu wa HGL wanaweza omba kama utachagua education sio rahisi upate chuo bora ila kwenda chuo unaenda usiwe na wasiwasi ishu ni nn utasoma