Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Kweli mkuu hasa uthubutu wa kutoa rushwa waziwazi bila hata haya nayo ni sifa nyingine.Utayari na Uthubutu wa Lowassa unamfanya kuonekana tofauti na rangi za magamba! I wish ange join force CHADEMA iwapo CCM watamtema !
Yaani Lowasa anavyotoa Rushwa mpaka watoto wadogo wanamshangaaKweli mkuu hasa uthubutu wa kutoa rushwa waziwazi bila hata haya nayo ni sifa nyingine.
Reverse hii kauli yako utakuwa umepatiaAkuna alie Msafi zaidi ya Lowassa ndani ya ccm!...
Kweli Lowassa Maiti ya ksiasa iliyobebwa.Kuna sehemu nimesoma mtu akisema, "Kuna watu wamebeba maiti ya kisiasa huku wao wakiamini ni mfalme". Watajishangaa maiti ikianza kuvunda kama sio kunuka.
Atawafaa sana UKAWA , mchukueni.Ni waziri mkuu pekee aliyekubali kujiuzulu binafsi wakati wengine ving'ang'anizi.nampongeza sana kwa ilo
OLE wenu aukose huo urais mtarudisha hizo hongo anazowapa ili mtoe mapovu humu mitandaoni.Thibitisha madai yako! Na wewe umeingia kwenye mitego ya kitoto... Lini umewahi kuona Lowassa akitoa rushwa? Wenye kujinadi nadi kuwa wameoteshwa ndoto hamuwaoni? wenye kufilisi halmashauri hamuwaoni? Waliokwapua fedha za ESCROW na sasa wanazigawa kama njugu hamuwaoni? 2005 Wassira alikuwa na nini Zaidi ya kendee zake? alikuwa anasafiri kwa basi haogi, ananuka kama beberu, a/c yake kwa mara ya kwanza iliwekewa million kadhaa kutoka kwa RA ... Leo hii ni Zaidi ya Bwenyeye lenye utajiri wa kutisha! ameupata wapi?... Mwacheni Lowassa apumzike maana sasa naona mnataka kumfananisha hata na akina Nchemba na Nyalandu! Mmelogwa?