Sifa za kiongozi wa Afrika..

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,237
After a long experience and public checkability, naungana na Guru Master kwa haya aliyonena:

sifa za kiongozi wa afrika..
0.9. Kuvunja Katiba/sheria/taratibu etc

1. uwe mbabe/ dikteita wewe ndo mwamuzi wa mwisho
2. Kusema uongo
3. Ukabila and the like
4. Wizi wa mali ya umma
5. uwe na uwezo wa kujitengenezea mazingira mazuri ya kuwa karibu na polisi na wanajeshi ili hawa wakulinde dhidi ya wananchi
6. Kukandamiza upinzazni ie usiwe na huruma kwa wapinzani wako, wafunge,watese,wapoteze,waue,wadhalilishe
7. uwe na genge la watu wako ambao wao watakusikiliza unachosema na kukifanyia kazi ili kulinda maslah yenu.
8.......
9.etc
9. ongezea.......................................................
 
Back
Top Bottom