Sifa za kijinga

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Uswahilini hiyo ni burudani tosha, wamemjalia kibaao, basi hapo gumzo mtaani eti kamaliza kilo 15 za ugali na kilo saba za maharage.
Anaweza kung'oa demu kiulaiini.
 
sasa sifa hiko wapi hapo mtu kapewa kazi mshahara buku 20.
 
😄😄Huyu jamaa ameukomalia ugali Kama vile hajawahi kuuona...
 
mtu mwenyewe anakula sembe, angepiga dona na dagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…