Sifa ya kujiunga chuo

Sifa ya kujiunga chuo

Maheneko

Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
12
Reaction score
1
Jamani wandugu nisaidieni mawazo nimemaliza form six 2008 na kupata E mbili na S,Nikaenda diploma nikapata GPA ya 2.7 sasa nataka kwenda chuo nitumie cheti kipi?
 
Back
Top Bottom