Sifa na hulka za michepuko

Sifa na hulka za michepuko

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Jambo hili limekuwa maarufu sana na limechukua nafasi kubwa kwenye maisha ya watu.

Ili kurekebisha na kupunguza na kukosoa jamii naomba tuweke sifa/tabia/ dalili/swaga za wana michepuko kwa jinsia zote
Kwa mfano

1. Wengi hupenda kujisifia kwa nyumba ndogo labada kwa kuwa na magari fedha na mali nyingi ili wakubaliwe na kuaminiwa na michepuko wao awe wa kike au kiume.

2. Kwenye mapenzi, huonyesha uzoefu wa hali ya juu, kujituma zaidi, kuonyesha mbwembwe, staili, bahashasha ili kumteka mchepuko wake ana akubalike kirahisi pamoja na kupata fursa zaidi toka kwake hii ni kwa wanajinsia zote. Wengine huishia kuomba ruhusa kazini wapate pumziko maana shughuli na kazi ilikuwa balaa sana.

3. Wengi huishia kutoa huduma nzuri ya kisasa kwa mmichepuko wao wakati nyumbani kwao familia zinalala na njaaa

Naamini wadau watazileta sifa kibao ili tubadilike wapendwa kazi kwenu kutiririka na tabia/sifa za MICHEPUKO hata kama ni ya kwako usione aibu polepole tutabadilika.
 
Lamchina
mkuu avatar yako inatisha, please could you change it?
 
Last edited by a moderator:
1. Mchepuko unanyonya koni (dushe) mke awezi anahic kinyaaa
2. Mchepuko upo tayari kuliwa tigo..
MICHEPUKO NDO MPANGO MZIMA INAJUA KUTANGAZA UPENDO
 
1. Mchepuko unanyonya koni (dushe) mke awezi anahic kinyaaa
2. Mchepuko upo tayari kuliwa tigo..
MICHEPUKO NDO MPANGO MZIMA INAJUA KUTANGAZA UPENDO
Hahahaaaaa kweli umenena
 
Lamchina dude gani? Gorofa? Gari? Au nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom