Sierra Secondary School Msasani yawa shule ya wasasambuaji

Sierra Secondary School Msasani yawa shule ya wasasambuaji

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,848
Reaction score
1,944
Hello,hii shule ya sSierra iliyopo hapa Msasani ilianza vizuri sana lakini kadri muda unavyozidi kwenda maadili na mantiki ya elimu inabilika na kutuacha hoi watu tunalozunguka eneo hili.

Sababu haswa ya kushare waraka huu ni uchungu wa kuona namna watoto wa shule ambao kimantiki wanatakiwa waende Sierra kusoma lakini wanatumika na mama mmoja wa mtaaa huu huu kuwa wasasabuaji,ni kero kuona watoto wadogo namna hii (wa Sierra) wakimsasambua.

Mdogo wa dada mmoja, na huyo dada mwenyewe ambaye walipishana maneno na huyu mama ambaye sasa anatumia wanafunzi kama silaha yake, kiakili huyu mtoto aliye sasambuliwa ni sharp zaidi kwasababu aliwajibu kwa busara na hekima mpaka watu tuliokuwa pembeni tukashangaaa ni kwa namna gani hii shule tene ya private inaendekeza huu ulimbukeni wa hali ya juu kiasi hichi.

Nadhani hawa watoto wa Sierra hawajatambua maana halisi ya kuwa shule ndio maana hata matokeo ya kidato cha nne miaka miwili iliyopita yamekuwa hayaangaliki.

Kwa sera ya BRN,na kumkomboa mtoto kifikra nadhani Sierra mmeshindwa ndio maana watoto wenu wanatumika kama wasasambuaji huku mitaani wakibwagizwa na mirindimo ya taarabu!...it is pathetic!
 
hii si ndio shule ambaye mmiliki wake alifumaniwa na mwanafunzi wake guest house anamfumua
 
Back
Top Bottom