Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,139 Mar 6, 2014 #21 Hujawa tayari kuwa katika mahusiano mpaka utakapojiamini.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,629 Mar 7, 2014 #22 gwenivia said: jaman kuna mtu kanambia ananipenda sana nlimfkiria kwa mda mrefu nkagundua nami pia nampenda lkn nina waswas baadae hatanipenda tena anajitahidi kila siku kunijulia hali n kwa sasa kaacha kunambia kuwa ananipenda Click to expand... Huyo mtu umemfahamia wapi?? Anafanya kazi wapi??
gwenivia said: jaman kuna mtu kanambia ananipenda sana nlimfkiria kwa mda mrefu nkagundua nami pia nampenda lkn nina waswas baadae hatanipenda tena anajitahidi kila siku kunijulia hali n kwa sasa kaacha kunambia kuwa ananipenda Click to expand... Huyo mtu umemfahamia wapi?? Anafanya kazi wapi??
Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,656 Mar 7, 2014 #23 Mhhh..siku hizi bana....unampiga mtu mistari anakuja kuuliza kwanza jf...kazi kweli...ila sio poa kabisa
Mhhh..siku hizi bana....unampiga mtu mistari anakuja kuuliza kwanza jf...kazi kweli...ila sio poa kabisa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,421 Reaction score 869,836 Mar 7, 2014 #24 Ushajitia gundu...kumbuka uwazalo ndo huwa... !