Muite geto mpelekee moto.....problem solved....Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla.
Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana mambo mbalimbali na kufahamiana zaidi, na hatimae tukabadilishana hata namba za simu kwa mawasiliano zaidi..
Hakuna tulichokua tumekubaliana kabisa, hususani kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Nilimuheshimu mno na kumchukulia kama rafiki wa kike tu, na mwana semina mwenzangu, japo kiukweli anashawishi mno kuangukia dhambini nae, anaita kichizi. Kajaa vizuri sana hapo kati, lakini pia ana sura, ana energy na anavutia sana..
Kilicho nishangaza zaidi,
Ni kitendo chake cha kunikuta nimeketi na mwana semina mwingine wa kike sehemu ya kupata kinywaji na kunifokea kwa ukali huyu ni nani, kiasi kwamba aliekua ameketi nami kabla, kutimua mbio na kutokomea kusikojulikana akihisi ni huyu mwanasemina ni mke wangu kumbe siyo.
Eti sasahivi kaninunia..
Ladies please,
semeni mapema jamani ikiwa umemuelewa gentleman fulani. Wivu na fujo vyanini na wakati hatujakubaliana chochote kuhusu mahusiano?π
Mungu Ibariki Tanzania
Shida hako unachukua mashangazi ya chama yana njaa sana hayo.Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla.
Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana mambo mbalimbali na kufahamiana zaidi, na hatimae tukabadilishana hata namba za simu kwa mawasiliano zaidi..
Hakuna tulichokua tumekubaliana kabisa, hususani kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Nilimuheshimu mno na kumchukulia kama rafiki wa kike tu, na mwana semina mwenzangu, japo kiukweli anashawishi mno kuangukia dhambini nae, anaita kichizi. Kajaa vizuri sana hapo kati, lakini pia ana sura, ana energy na anavutia sana..
Kilicho nishangaza zaidi,
Ni kitendo chake cha kunikuta nimeketi na mwana semina mwingine wa kike sehemu ya kupata kinywaji na kunifokea kwa ukali huyu ni nani, kiasi kwamba aliekua ameketi nami kabla, kutimua mbio na kutokomea kusikojulikana akihisi huyu mwanasemina anaefoka ni mke wangu, kumbe siyo..
Eti sasahivi kaninunia..
Ladies please,
semeni mapema jamani ikiwa umemuelewa gentleman fulani. Wivu na fujo vyanini na wakati hatujakubaliana chochote kuhusu mahusiano?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwel na makasiriko sio kitu kizuri gentleman πGentleman,
ni muhimu sana kukumbushana na kuambiana ukweli mapema kuliko kuleta makasiriko baadae π
Mjomba nipo hapaAchana naye
Njoo kwangu
Utakua na homoni za kikemimi nimeenda kwenye semina tu gentleman hayo mengine sijajipanga π