Sielewi elewi hata kidogo...

Sielewi elewi hata kidogo...

Maukiddo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
206
Reaction score
111
Hivi hawa maafisa uajiri wa makampuni hata hizi taasisi wana ufahamu nini wanakifanya kweli???
We ndio afisa uajiri unafahamu fika organization yako inataka kuajiri wafanyakazi watano wapya sawa kabisa na unaenda kurusha katika vyombo husika wanakutangazia vizuri na response unaipata kwa uzuri kabisa kutokana na vijana wengi tuliokosa kazi...
Sasa janga linapokuja ni pale unapokwenda kusort out application za hao candidate kwa iyo post na unaenda kuwaita kuja kufanya interview candidate wasiopungua 200...najiuliza ni kua vigezo katika hizo barua zao hakuna au ni ufahari wa kutusumbua tuu na waende wakaitangaze organization yako!!!
Hapa nakosa kabisa jibu la haraka mwenzenu.
NAPENDA KUULIZA WENZANGU ILI MNALIONAJE LABDA MNA MAJIBU!!!:A S-confused1:
 
Tulishawahi kuwekwa pale d.i.t hall watu 500 wakati waliokuwa wanahitajika ni 6! Ni usumbufu kwakweli hasa pale wanaokuwa wanahitajika tayari wanakuwa nao mlango wa nyuma.
 
Usikate tamaa mkuu...kupiga interview unapata uzoefu wa zijazo. we ukiitwa nenda wala usiache.
 
Do interviews for fan. Yan zitakupa uzoefu sana
 
Do interviews for fan. Yan zitakupa uzoefu sana
Kwa hapo sawa...maana hata mpirani tunaona baadhi ya makocha wanaenda kuangalia timu watakayopambana nayo wakiwa wanacheza ili wajue wanaanzia wapi kuwakata maini wapinzani!!!
Kama kwa ajili ya kujifurahisha upo sawa mkuu asilimia 100...
 
Hata kama unahitaj watu 20 huwe chukua watu 300 kuwasumbua mikoani koote wakatbunajua u need only few people. Au ndo elimu ya kibongo imeshuka thaman had upite mchujo mkali ivo?? All z well ila utu mbele
 
Do interviews for fan. Yan zitakupa uzoefu sana

Kwenu kigoma unaitwa interview ya aina hiyo Dar,Mbeya, Arusha, Tanga...Unafikiri kama utakuwa unahudhuria eti "for fan" ndani ya miaka miwili kama bado utakuwa hujapata kazi na unajipeleka kwenye interviews za kijinga hizo utapoteza kiasi gani?

Hivi neno shortlist ina maana gani kwenye matangazo ya kazi...mfano UDOM wanaita watu 1000 kwa nafasi moja ya kazi hapo wamefanya shortlisting?
 
Mkuu unachosema ni sahihi kabisa na hii inatokana na idadi kubla ya wasoni inayoongezeka kila siku na ufauru unakuwa mzuri tofauti na zamani.Kwa mfano TPDC walitaka watu wenye First na upper second kwa matumaini wakijua watapunguza idadi ya watu lakini angalia umati uliokuwepo.So hizi taasisi ajiri zinakuwa zinapata shida sana kwenye suara la kuchambua maombi pamoja na mchakato mzima wa kuchuja ndo maana hawa utumishi wa umma wanataka waintroduce mfumo kama wa TRA ambao unachuja kutokana na ufauru na pia kama wanaitaji watu 10 then mmefanya mtihani watu mia na mkafauru wato mna be saved on database inacase mtu akiacha kazi au ikitokea kuna uhaba wanacheki kwenye database yao then wanaita watu kazini. NOTE: Vijana walioko vyuoni nawaasa wasome kwa bidii sana ili waweze kufauru vizuri kwani itawasaidia hasa wanapokuja kutafuta ajira na pia msidharau seminar na workshop zinapotokea kwani huwa zina add value akiachilia mbali kujuana.
 
No Pretty diva, mie nilifanya interview mwaka jana mwezi wa 12 ya top management (zile 2 za juu) wakaniandikia email na kunipigia simu kuwa nimeshinda interview na watanipa maelekezo zaidi baadae lakini toka January hadi leo hakuna kitu na watu wameshaanza kazi. Utapeli mkubwa sana
vipi ulifanya deloitte interview ya administrative assistant nini?kuna moja tulkuwa karbu 10 nafasi 1 yan pasua kichwa sana.
 
Back
Top Bottom