SIDO wameshindwa hata kutengeneza mobile toilets?

SIDO wameshindwa hata kutengeneza mobile toilets?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,102
Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China?

SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?

download (18).jpeg
 
Inakitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China? SIDO mmeshindwa kuunganisha mabatin hayo yawe mobile toilets?bado mtadai nyongeza ya Mshahara?
Wanajinasibu wanatengeneza ndege watu 500...wazimu mtupu...mwisho machine kukamua mafuta nafaka hakuna jipyaà
 
Kwa bongo hii mtu anapakia msosi wa kilo moja peke yake.
Unataka hiyo mobile toilet ishindwe kutambua mnara.

Alafu wengi tumetokea vyoo shimo mizigo inayotoka inaweza kusababisha android au ios inayotumia ikachanganya mafaili.
 
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.ch
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.
 
Back
Top Bottom