....Tunapokuwa tunaulalamikia upinzani tunamaanisha akina nani hasa? Je kuna watu tumewatuma wafanye hiyo kazi ya upinzani? Kuna mtu anawalipa kwa kazi hiyo? Sisi tunaosema upinzaji umeshajiharibia tunaishi nchi gani?Na pia ndio waliomtuma Lowassa aende cdm kuangalia wanafanyaje?
Opposition washajiharibia sana, unayoyasema utaamini katika kushindwa tu...ila CCM huwa nasema iliishakufa kitambo sana. Tatizo ni upinzani sasa kwa akili yako kuzuiwa siasa unaona ni sababu!???? unazuiwa unakaa kimya kisha unailaumu CCM???..
mi naona upinzani wanataka kuingia ikulu bila hata kupata shida!! will never happen
ndio maana unakuta akili za kushindwashindwa, execuse nyingiii kama hizi
Na pia ndio waliomtuma Lowassa aende cdm kuangalia wanafanyaje?
Opposition washajiharibia sana, unayoyasema utaamini katika kushindwa tu...ila CCM huwa nasema iliishakufa kitambo sana. Tatizo ni upinzani sasa kwa akili yako kuzuiwa siasa unaona ni sababu!???? unazuiwa unakaa kimya kisha unailaumu CCM???..
mi naona upinzani wanataka kuingia ikulu bila hata kupata shida!! will never happen
ndio maana unakuta akili za kushindwashindwa, execuse nyingiii kama hizi
....Tunapokuwa tunaulalamikia upinzani tunamaanisha akina nani hasa? Je kuna watu tumewatuma wafanye hiyo kazi ya upinzani? Kuna mtu anawalipa kwa kazi hiyo? Sisi tunaosema upinzaji umeshajiharibia tunaishi nchi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahaba nasikia ni Mkisii. Kwa Kikisii Maraga ni Kama laana ama kulaani. Pia huyu jamaa ni mu Adventist!Mimi pia ni RC lakini nimejiuliza swali moja juzi. Kwamba jaji mkuu wa Kenya David Maraga siyo kiongozi wa dini. Lakini ametenda haki. Je kama ile kesi ingekuwa ni CDM vs CCM na kama CDM ingekuwa ndo NASA na ikaleta ushahidi ule wote kama ilivyofanya NASA, na kama maaskofu wetu kanisa katoliki wange preside hiyo kesi chini ya Pengo, je CDM wangepata haki yao?
Huyu alielekea lakini hizi kelele zinasaidia asiwe. Na nafikiri Kagame ni tatizoKwanza ulishawahi kushuhudia Rais DIKTETA!Kwa taarifa yako JPM angekuwa DIKTETA hata hiyo thread usingeiandika!
....Sasa kama wewe unaamini mwenye chama ni mwenyekiti, na wewe huna na kufanya basi tulia uendelee kunyolewa mpaka unyooke.Mtu unnang'ang'ania uenyekiti wa chama cja siasa miaka nenda rudi alafu unauliza swali pumba kama hili? Yaani ule ruzuku zetu ambazo kodi zetu alafu uuluze swali hewa namna hii? Mimi mwananchi wa chini huku naanzaje kuitisha mkutano wa kisiasa kama kiongoz wangu mwenywe ndio muoga kama wewe?
1 - 3 afadhali. Hiyo 4 ni potelea mbali.CCM ni muunganiko wa:
1. Polisi
2. Tume ya taifa ya uchaguzi
3. Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
4. Bakwata
Sawa ayatolah subiri luzuku ule, ulale
Yaani wewe, umeshindikanaMambo yote uliyozungumza hamna hata moja la maana.