Sickle cell , cd4 & kisukari

Sickle cell , cd4 & kisukari

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari za kazi Ndugu zangu!!

Kwa wale wote wanaosumbuliwa au kama una ndugu jamaa au rafiki anasumbuliwa na magonjwa Tajwa hapo juu (SIKOCEL & KISUKARI NA KUONGEZA CD4) napenda kuwaambia kuwa dawa zinapatikana na za uhakika kabisa!!

Tunapatikana Airpor (katika kituo chetu cha matibabu) ni dawa za uhakika na zimesha tibu Wengi na kwa gharama nafuu!!

Unaruhusiwa kulipa nusu na kumalizia baada ya kuona Maendeleo (ufanisi) wa dawa uliyopewa!!

0713 644485 tumia number hii kwa mawasiliano zaidi!!
emmanuelvitalis@tanzaniamail.com; hiii ni mail yangu (utajibiwa mail zote masaa ya kazi ttu)

KARIBUNI NYOTE
 
wamepona kabbisa?
 
Dawa yako ina side effects gani na mtu mwenye hali zipi haruhusiwi kutumia?
 
Weka nyama kwenye hili bandiko bana, dah!
 
Jamani mie sielewi hapo, Serikali imekataza watu kujitangazia wanaponya Kisukari na Ukimwi, vile nijuavyo sicke cell mtu anazaliwa nayo na sijawahi ona mtu kapona kabisa huo ugonjwa, sasa nyie mnaponya kwa nguvu ya nani jamani. Au ndo kama kikombe cha babu Loliondo?
 
Back
Top Bottom