SIasa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIasa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anfaal, Aug 10, 2010.

 1. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna namna nyingine ya kupata uongozi km hizi tunazozitumia. Aina hii inagharama kubwa saana hata ethics wise ni tatizo saana. Ni lazima nchi iongozwe kwa utaratibu wa kisiasa au kijeshi? Hatuwezi kuwa na mfumo wetu kweli! Hivi kwanini wanasiasa ndio washike hatamu na si wachumi au kundi jingine?
  Nimewasikiliza kina mama hawa wanavyozungumza na kuhangaika ohpss. Naomba ieleweke nazungumzia mfumo mzima na si wa hiki chama peke yake.
  YouTube - ‪CHADEMA WOMEN CANDIDACY NOMINATIONS (MichuziBlog)‬‎
   
Loading...