Siasa zisizokuwa na tija

Siasa zisizokuwa na tija

Tellme

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
28
Reaction score
2
Hivi karibuni tumeona baadhi ya wanasiasa wakitumia muda mwingi sana kuongea mabaya wa watu ili wao waonekane ni bora kwa jamii, unakuta mtu anapanda jukwaani lakini cha kushangaza mpaka anashuka haelezi sera zake bali kuponda vyama vingine.
Nadhani watu wanaokuja kwenye mikutano ya kampeni wantaka kusikiliza utawafanyia nini baada ya kuchaguliwa na sio siasa za kuchafuana
 
Back
Top Bottom