Zee La Elimu
Member
- Oct 6, 2017
- 49
- 61
Wana Jamvi Mara nyingi Nimekuwa nikishuhudia Chaguzi Nyingi sana lakini bado Nagundua Kuwa Waafrica Hatujui kutofautisha Vitu Wiwili Tu
Na tukibahatika Kuvielewa na kuivitofautisha kwa Kuwaza na Kuelewa kwa wazo la level ya mwisho ya Kuwaza ..
Africa Ukiweza Kuvaa suti au ukichomekea watu wanaanza Kukuona Kiongozi
Hapa namaanisha Personality
Ambapo kwa kifupi
Personality is developed by individual ambayo ina creativity energy force ,whereby any individual can establish his/her image without being blowing his/her own trumpet .
Hawa ndo type ya Viongozi tunao Africa
Ila Kuna attitude
Ambapo Attitude has a natural tendency ,it is cultivated within the conscious mind of an individual .
Ila Sasa Africa attitude haionekani maana nyingi Ni za kuforce kupitia personality..
Nasema Unaweza Uvae Jinsi na ukawa Rais Mzuri ..
Na hapa Duniani maraisi Wanavaa suti Lakini Bado hatuoni chochote