Ili siasa yetu iwe kweli ya kidemocrasia na haki, isiyo na fujo za kila aina, ningependekeza tufute bendela za vyama. Wote tutumie bendela moja ya TAIFA tu. Hii itatuweka pamoja pasipokujua itikadi ya mtu. Mtu mwenyewe atabakia na siri au dhamira yake mwenyewe.
Lakini pia tupige marufuku sare za vyama. Mtu anapovaa sare ya chama chake tayari anadhihirisha kwamba yeye niwa chama fulni jambo ambalo linaleta migogoro kila siku.
Kila siku za uchaguzi au hata siku za kawaida mtu asivae wala kushika bendera ya chama, ila tuvae kawaida na tupeperushe bendera moja tu ya taifa. Mtu mwenyewe atabaki na dhamira yake moyoni. Hapo hutosikia wala kuona au kusikia ogomvi wa aina yoyote ile.
Lakini kingine tume ya uchaguzi iwe na ofisi inayotambulika na iwe ya kudum, sio tume ya uchaguzi inaibuka mala tu kunapotokea uchaguzi. Serikali iajili kabisa watu wa tume ya uchaguzi ambao watakuwa na ofisi ya kueleweka na pia iwe free agency.