Business as usual kama ilivyokuwa Malawi baada ya Kamuzu, Zambia baada ya Kaunda na Kenya baada ya Moi. Hii nadhani inasababishwa na li-mdudu bureaucracy utakuja utawala mpya lakini hili dudu bureaucracy linabaki vilevile na vyama vya siasa (tawala mpya) zinakuwa hazina uwezo wa kulifanya liwe efficient na effective.