Siasa za Tanzania zimejaa vituko

CCM wanatumia nguvu kubwa kubaki madarakani kuliko kulijenga Taifa na Watu wake. Utaona kila watakachofanya watataka sifa na kutengeneza vipeperushi vya kielektronic vya kusifiana na picha pembeni, utafikiri wametenda miujiza kumbe ni kodi za wananchi, na unaweza kuta wakikwambia gharama ni Bilioni 1 jua 40% ya 1bil ni 10% na upembivu yakinifu.
 
Wamemteua au wamembatiza? naona kama wamembatiza ingefaa zaidi.
 
Wangemuachia tu huyo Mbowe, mambo mengine hayana hata msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…